Siku za hivi karibuni rapper mwenye asili ya Kenya na Tanzania Prezzo
alitweet kuwa anaenda mahakamani huko Kenya lakini hakuweka wazi
alikuwa anakabiliwa na kesi gani.
Yawezekana ukawa unashangaa kusikia story kila kukicha juu ya king wa
bling ana date na warembo wengi kwa wakati mmoja, mara Goldie
(marehemu), mara Huddah, mara Diva, na jana tumesikia ameonekana
akikiss na
↧