Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limemkamata mbunge wa Mtwara Mjini
(CCM), Hasnain Murji likimtuhumu kuchochea vurugu za kupinga mradi wa
bomba la gesi kutoka mkoani humo kwenda jijini Dar es Salaam.
Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Msemaji
wa Jeshi la polisi nchini, Advera Senso zinaeleza kuwa Murji alikamatwa
jana jioni nyumbani kwake maeneo ya
↧