Usiku wa tuzo za KTMA ulipambwa na burudani ya aina yake kutoka kwa
wasanii mbalimbali wakiwemo Linah, Amini, Richie Mavoko, Mataluma,
Hussein Jumbe, Zahir Zorro, Patricia Hillary na Barnaba. Wengine ni
Snura, Godzilla, Mabeste, Madee na Afande Sele.
Host wa tuzo hizo mwaka huu alikuwa ni Zembwele na TJ.
Hii ni list nzima ya tuzo hizo.
Wimbo bora wa mwaka
Dear God – Kala
↧