DHARAU za Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano
wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jakaya
Mrisho Kikwete zimewagawa Watanzania na kuwafanya wawe na mitazamo tofauti.
Wapo wanaomuunga mkono Rais Kagame na wapo pia wanaompinga kwa kauli yake...
Rais Kagame alimkejeli Rais Kiwete kwa kuuita ushauri wake ni
↧