Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini , IGP Said Mwema akizungumza katika kikao cha
Mashauriano kati ya Jeshi la Polisi na viongozi wa makanisa ya
kikatoliki.kikao hicho pia kilihudhuriwa na Askofu Mkuu wa Kanisa
Katoliki nchini Kardinali Pengo .Mkutano huo uliofanyika jijini Dar es
Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa
Katoliki nchini
↧