MAHAKAMA
ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida umemhukumu mwanamke mmoja mkazi wa
kijiji cha Kisana wilayani humo, Sayuni Ramadhani (42) kwenda jela
miaka mitatu baada ya kukiri kosa la kumng’ata mumewe sehemu zake za siri.Mwendesha
mashitaka mkaguzi wa polisi, Vincent Ndasa alidai mbele ya hakimu
mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Iramba, Kariho Mrisho kuwa Juni 4
mwaka huu
↧