MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Chocky ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka na Baraka Msilwa.Katika
maongezi yake Chocky alisema katika watu asiowapenda duniani ni Asha
Baraka (Mkurugenzi wa ASET) na Baraka Msilwa (Mwenyekiti wa ASET). Asha
Baraka na Baraka Msilwa ni mtu na kaka yake.Kiongozi
huyo wa Extra Bongo akaenda mbali zaidi kwa kusema: “Nikifa leo
↧