Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi
Lwakatare ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10 leo katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar.
Lwakatare anakabiliwa
na kesi ya kujaribu kumwekea sumu Dennis Msaki. Waliomuwekea dhamana
Lwakatare ni madiwani wawili wa Chadema kutoka kata ya Kimara na Sinza.
↧