Mwanamuziki
aliyewahi kuvunja rekodi ya mwaka 2010 kwa kunyakua tuzo tano kwa
mfululizo Abasi Kizasa" 20 pacent" ameibuka na kutoa sababu za msingi za
kushindwa kwenda kushiriki kwenye mazishi ya mwanamuziki mwenzake
Arbeth Mangwair kutokana na kuuguliwa sana babaake mzazi ambae ana kansa
ya utumbo.
Akiongea
na Xdjayaz , 20 pacent alisema kuwa baba yake alikuwa ni mgonjwa kiasi
↧