KATIKA hali ya kushangaza , mchungaji mmoja
huko nchini Nigeria amejikuta akiaibika baada ya video yake aliyokuwa akimtomasa mwanamke wakati wa maombi kuvuja na
kusambaa kitika mitandao mbali mbali ya kijamii.
Video hiyo ilirekodiwa kwa kutumia kamera zilizokuwa zimetegeshwa kitika ofisi ya mchungaji huyo bila yeye kujua.
Tazama video ya mchungaji huyo hapa
<!-- adsense -->
↧