"SINA SHAKA NA UMAARUFU WANGU"....LOWASSA
MBUNGE wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema hana shaka na umaarufu wake Monduli wala Tanzania kwa ujumla. Kauli hiyo aliitoa jana wakati akifungua kampeni za udiwani wa Kata ya...
View ArticleTANZANIA YADAI KWAMBA VITISHO VYA WAASI WA M23 HAVIINYIMI USINGIZI HATA KIDOGO
Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe Dar es Salaam. Tanzania imesema vitisho vinavyoendelea kutolewa na waasi wa M23 wanaopigana Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), haviinyimi...
View ArticleWANAFUNZI WAPIGA KURA ZA SIRI ILI KUWAFICHUA WALIMU WANAOFANYA MAPENZI NA...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyasubi, iliyopo Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamepiga kura za siri ili kuwafichua walimu wenye tabia ya kufanya mapenzi na...
View ArticleMTANZANIA FEZA AZIDI KUNGA'ARA BIG BROTHER AFRICA....AUKWAA UKUU WA KAYA
Tunaenda vizuri, bahati inaonekana kutuangukia watanzania kwani mshiriki Feza jana ameukwaa ukuu wa kaya ama kwa lugha ya ki-big brother‘Head of House’. Ilikuwaje? Baba mwenye nyumba, biggie, alitoa...
View ArticleBREAKING NEWS: ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA...
Habari zilizotufikia ni kwamba msanii Albert Mangwair amefariki dunia akiwa Afrika kusini Chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika lakini taarifa za awali zinadai kuwa msanii...
View ArticleCHANZO CHA KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWEA
Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa. Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Hussein Original...
View ArticleHII NI INTERVIEW YA ALIYEKUWA MWENYEJI WA NGWAIR AFRICA YA KUSINI AKISIMULIA...
Hii ni audio ya maelezo ya maelezo ya mwenyeji wa Albert Ngwea aliyeko afrika kusini <!-- adsense -->
View ArticleWASANII WAAIRISHA SHOW ZAO KWA AJILI YA MSIBA WA ALBERT NGWEA
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini akiwemo Mwana Fa, Izzo Business, pamoja na Kara Pina wamehairisha shoo zao ambazo zilikuwa zinatarajia kufanyika Mei 31 mwaka huu kwa sababu ya kifo...
View ArticleMBINU ZA KIMAHABA ALIZOZITUMIA KARRUECHE TRAN KUUTEKA TENA MOYO WA CHRIS BROWN
Kwa kawaida mapenzi hutawaliwa na hisia za kimahaba alizonazo mtu kwa mwenziwe ama mtu anaetamani kuwa nae kama boyfriend/girlfriend wake ama mke/wake. Lakini hakukosea aliyesema mapenzi ni kama mmea...
View ArticleNESI ANASWA KATIKA JARIBIO LA KUMTOA MIMBA MWANAFUNZI....
Mwanafunzi akiwa kitandani tayari kwa kutolewa mimba MUUGUZI wa kike, Violet Shoo, mkazi wa jijini Dar ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kituo cha Buguruni, Ilala baada ya kunaswa katika jaribio la...
View ArticleTAARIFA YA KIFAMILIA KUHUSU MAZISHI YA NGWEA NA JINSI MWILI HUO UTAKAVYOLETWA...
Baba Mdogo wa Marehemu Mzee Mangweha ambaye yuko Mbinga Songea kikazi, amesema kuwa wamekubaliana na kaka yake mkubwa yaani baba mkubwa wa Ngwair, David Mangweha ambaye naye yuko Songea kuwa watu...
View ArticleAIBU YA BIG BROTHER: VIDEO ZA MAPENZI ZAANZA KUONEKANA KATIKA NYUMBA...
Ikiwa ni usiku wa pili (usiku wa kuamkia leo)katika reality show ndani ya jumba la Big Brother Africa mwaka huu lilipewa jina la ‘The chace’ mambo mengi mapya yameanza kuonekana kwa washiriki ambao...
View ArticleKIFO CHA NGWEA: LADY JAYDEE NAYE ASITISHA SHOW YAKE
Mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya nchini, mwanadada Judith Wambura Maarufu kama Lady Jaydee ametangaza kuahirisha shughuli ya maadhimisho ya miaka 13 tangu aanze muziki iliyokuwa imapangwa...
View Article"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM..WAO NDO WALIOMFANYA...
Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na...
View ArticleRIPORI TOKA HOSPITALI YA ST. HELLEN IKITHIBITISHA KWAMBA WASANII WETU ( NGWEA...
The Medical report from Helen Joseph hospital,Dr Shirley Radcliffe confirming that albert Mangwairdied from “alcohol toxicity” after drinking toomuch,Over-exhaustion and drugs overdose.... The inquest...
View ArticleOMBA OMBA FEKI ANASWA......ALIJIFANYA HANA MIKONO WALA MGUU
WAKAZI wa mjini Iringa hivi karibuni wameshuhudia kituko cha mwaka baada ya kumnasa mzee mmoja akijifanya ombaomba kwa kuigiza ulemavu asiokuwa nao. Ombaomba feki akijifanya hana mkono. Ombaomba...
View ArticleWATU 92 WAFIKISHWA MAHAKAMANI MTWARA KUHUSIANA NA VURUGU ZA GESI
Watu 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mtwara na kusomewa mashitaka mbalimbali, ikiwamo kufanya fujo, kuvunja nyumba, kuiba, kujeruhi na kuhujumu uchumi katika vurugu zilizotekea mjini Mtwara,...
View ArticleAMMY NANDO WA TANZANIA NDANI YA BAFU MOJA NA MREMBO WA NAMIMBIA....
Jana (May 29) ilikuwa ni usiku wa tatu katika jumba la big brother Afrika huko Afrika Kusini mengi yanazidi kuonekana na sasa washiriki wengi wanaanza kuonesha side B ya mioyo yao na kujaribu kupata...
View ArticleVIDEO: P- FUNK AWACHANA TENA CLOUDS FM.... AELEZA JINSI MAREHEMU NGWEA...
Kwa mara nyingine tena P-Funk amezungumzia sababu anazodhani zilipelekea marehemu Ngwea kujiingiza kwenye madawa. Producer huyo ameichana CloudsFM kwa kile anachokiona kama unyanyasaji kwa wasanii,...
View ArticleTAARIFA YA MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE, UFAULU WAPANDA KWA ASILIMIA...
<!-- adsense --> Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa. Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza rasmi matokeo ya Kidato cha Nne 2012. Idadi ya watahiniwa waliofaulu...
View Article