MBUNGE wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema hana
shaka na umaarufu wake Monduli wala Tanzania kwa ujumla.
Kauli hiyo
aliitoa jana wakati akifungua kampeni za udiwani wa Kata ya
Makuyuni huku akikishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kwa kupeleka mgombea wake katika Kata hiyo.
“Eti hawa wanathubutu kujinadi na kujigamba kushinda udiwani Monduli ya
↧