Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe
Dar es Salaam.
Tanzania imesema vitisho vinavyoendelea kutolewa na
waasi wa M23 wanaopigana Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo
(DRC), haviinyimi usingizi.
Kauli ya Tanzania inakuja huku kukiripotiwa kuwapo kwa mapigano
makali baina ya vikosi vya Serikali waliopambana na waasi hao, ambao
wameanzisha tena harakati ya kuliteka Jimbo
↧