KATIKA
hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyasubi, iliyopo
Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamepiga kura za siri ili
kuwafichua walimu wenye tabia ya kufanya mapenzi na wanafunzi wao
shuleni hapo.Uamuzi wa kupigwa kura hizo ulifikiwa hivi karibuni
kwenye Kikao cha Baraza la Shule la Watoto ambacho kiliitishwa kwa
lengo la kujadili vurugu zilizokuwa
↧