Tunaenda vizuri, bahati inaonekana kutuangukia watanzania kwani
mshiriki Feza jana ameukwaa ukuu wa kaya ama kwa lugha ya ki-big brother‘Head of House’. Ilikuwaje?
Baba mwenye nyumba, biggie, alitoa task ambayo washiriki walitakiwa
kuelekea bustanini na kuchagua box, ambaye angechukua box la ushindi ndo
huyo angekuwa mkuu wa kaya. Kama zali, bahati hiyo ilimuangika mrembo
Feza.
↧