Habari zilizotufikia ni kwamba msanii Albert Mangwair amefariki dunia akiwa Afrika kusini
Chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika lakini taarifa za awali zinadai kuwa msanii huyo hakuamka tangu alipolala .
Mtandao huu unaendelea kuifuatilia habari hii
R.I.P Ngwair
<!-- adsense -->