Mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya nchini, mwanadada Judith
Wambura Maarufu kama Lady Jaydee ametangaza kuahirisha shughuli ya
maadhimisho ya miaka 13 tangu aanze muziki iliyokuwa imapangwa kufanyika
Ijumaa hii ya Mei 31, 2013 katika mgahawa wake wa Nyumbani Lounge
kupisha msiba wa kifo cha msanii Albert Robert Mangweha aliyeripotiwa
kufariki nchini Afrika Kusini jana.Judith
↧