Ikiwa ni usiku wa pili (usiku wa kuamkia leo)katika reality
show ndani ya jumba la Big Brother Africa mwaka huu lilipewa jina la ‘The
chace’ mambo mengi mapya yameanza kuonekana kwa washiriki ambao wameanza
kufahamiana.
Katika hali ambayo mara nyingi haikwepeki hasa wanapokutana
wanawake warembo na wanaume watanashati, scene za mapenzi zimeanza kuonekana
katika Diamond house
↧