Baba
Mdogo wa Marehemu Mzee Mangweha ambaye yuko Mbinga Songea kikazi,
amesema kuwa wamekubaliana na kaka yake mkubwa yaani baba mkubwa wa
Ngwair, David Mangweha ambaye naye yuko Songea kuwa watu watakutanika
Mbezi kwa msiba na pia mapokezi yatafanyika hapa Dar es salaam Mbezi
Beach.
Ingawa bado kikao cha familia nzima hakijafanyika lakini baba
huyo mdogo amesema wanaweza
↧