Mwanafunzi akiwa kitandani tayari kwa kutolewa mimba
MUUGUZI wa kike, Violet Shoo, mkazi wa jijini Dar ametiwa mbaroni na
Jeshi la Polisi Kituo cha Buguruni, Ilala baada ya kunaswa katika
jaribio la kutaka kumchoropoa ujauzito msichana mmoja aliyepandikizwa
kama mwanafunzi kwa mtego makini ulioratibiwa na Oparesheni Fichua Maovu
‘OFM’
Tukio hilo lilitokea Jumamosi ya wiki iliyopita,
↧