Kwa kawaida mapenzi hutawaliwa na hisia za kimahaba
alizonazo mtu kwa mwenziwe ama mtu anaetamani kuwa nae kama
boyfriend/girlfriend wake ama mke/wake. Lakini hakukosea aliyesema mapenzi ni
kama mmea unaweza kutunzwa na kustawi na ukiachwa bila matunzo unaweza
kunyauka.
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa mrembo Karrueche Tran aliyetoswa
vibaya na Chris Brown lakini kwa kuweka
↧