Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini akiwemo Mwana Fa,
Izzo Business, pamoja na Kara Pina wamehairisha shoo zao ambazo
zilikuwa zinatarajia kufanyika Mei 31 mwaka huu kwa sababu ya kifo cha
msanii mwenzao Albert Mangwea kilichotokea jana nchini Afrika ya Kusini.Mwana
Fa ambaye alitarajia kufanya onyesho lake alilolipa jina la The Finest
mwishoni mwa wiki hii amejikuta
↧