WAKAZI wa mjini Iringa hivi karibuni wameshuhudia kituko cha mwaka
baada ya kumnasa mzee mmoja akijifanya ombaomba kwa kuigiza ulemavu
asiokuwa nao.
Ombaomba feki akijifanya hana mkono.
Ombaomba huyo feki alijifanya hana mkono wa kushoto na mguu wa kulia
na kuweka pozi la kuomba kama vile ni mlemavu katika eneo la Hazina
Ndogo, mjini hapa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo,
↧