Watu 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mtwara na kusomewa
mashitaka mbalimbali, ikiwamo kufanya fujo, kuvunja nyumba, kuiba,
kujeruhi na kuhujumu uchumi katika vurugu zilizotekea mjini Mtwara, Mei
22, mwaka huu.
Watu hao walifikishwa mahakamani hapo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Mussa Esanju.
Waendesha
Mashitaka wa Serikali, Justine Sanga, na Renatus Mkude, walidai
↧