Jana (May 29) ilikuwa ni usiku wa tatu katika jumba la big brother
Afrika huko Afrika Kusini mengi yanazidi kuonekana na sasa washiriki
wengi wanaanza kuonesha side B ya mioyo yao na kujaribu kupata muda wa
kuwa romantic na kuonesha upendo (Romantic time). Wakati
washiriki wengine wakiendelea na mambo yao mtanzania Ammy Nando
alijiachia kwenye bafu moja na na kuoga na mrembo Dillish
↧