Kwa mara nyingine tena P-Funk amezungumzia
sababu anazodhani zilipelekea marehemu Ngwea kujiingiza kwenye madawa.
Producer huyo ameichana CloudsFM kwa kile anachokiona kama unyanyasaji kwa wasanii, na kwamba
dhuluma za Clouds Fm ni moja wapo ya vitu vilivyosababisha maisha ya
Ngwear yawe na muelekeo mbaya.
“Ngwair alikua kama ng’ombe wenu;
mnamkamua tu maziwa.” P funk
↧