Basi la Saibaba laua mmoja na kujeruhi vibaya watu 22
Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya saibaba walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya kupinduka katika kijiji cha...
View ArticleMsajili wa vyama aingilia kati sakata la kutekwa kwa Padri huko Kalenga...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imeingilia kati sakata la kutekwa na kujeruhiwa kwa Paroko wa Kanisa la Orthodox, Parokia ya Mtakatifu Basili Mkuu, Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, Padri...
View ArticleDayna awataka wasanii Chipukizi wasogope kutongozwa.....
Staa wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao. “Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia....
View ArticleSimba Yapigwa faini kwa kuendekeza vitendo vinavyoashiria ushirikina ( Uchawi )
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani. Simba ilifanya vitendo...
View ArticleAfrican Magic Viewers' Choice Awards kutolewa leo (March 8) jijini Lagos...
Moja kati ya tuzo kubwa zenye heshima Afrika zinazojulikana kama African Magic Viewers’ Choice Awards zinazoandaliwa na Multichoice Africa na Amstel Malta zitafanyika leo (March 8) jijini Lagos Nigeria...
View ArticleMainda alikumbuka penzi la Marehemu MAX....
STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amejikuta akikumbuka pete aliyovishwa na aliyekuwa mchumba wake, marehemu Saidi Banda ‘Max’ na kusema ataendelea kumuombea kwani alikuwa ni mwanaume...
View ArticleRehema Fabian ANASWA LIVE akipapaswa na kibabu cha kizungu
Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu katika moja ya ufukwe wakila...
View ArticlePicha: Muonekano mpya wa Msanii Jackline Wolper
Star wa filamu mwenye mvuto kwa sasa , Jackline Wolper akiwa katika mapozi ya ukweli kama anavyoonekana katika picha hapo juu.... <!-- adsense -->
View ArticleVictoria Kimani awadatisha mashabiki baada ya kuzianika tattoo zake za...
Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna. Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The...
View ArticleShamsa Ford atoa ONYO kali kwa Wanawake wanaomvizia mume wake
Mwanadada anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja. Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata...
View ArticleMatukio katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani 2014 na TGNP
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
View ArticleCHADEMA kutumia Helikopta huko Kalenga mkoani Iringa......Mbowe atamba...
Kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Kalenga, Iringa vijijini zimeanza kuchukua sura mpya baada ya chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ) kuanza kutumia...
View ArticleKwa mujibu wa ripoti ya shirika la kijasusi la Marekani ( CIA ) , Tanzania ni...
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kijasusi la Marekani, CIA iitwayo The World Fact Book, Tanzania ni nchi ya 12 kiuchumi barani Afrika na 83 duniani.<!-- adsense -->
View ArticleSiri ya Mtungi yaambulia patupu kwenye tuzo za mwaka 2014 za AfricaMagic...
Tuzo za mwaka 2014 za AfricaMagic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs) zimefanyika jana Jumamosi huko Eko Hotel and Suites Victoria Island, Lagos, Nigeria. Tuzo hizo ziliburudishwa na wasanii mbalimbali...
View ArticleMshindani wa JK kupambana na Ridhiwani Kikwete Chalinze
Aliyekuwa mshindani wa Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi wa Jimbo la Chalinze mwaka 2000 kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (Cuf), Fabian Leonard atapambana na mtoto wa rais huyo, Ridhiwani Kikwete...
View ArticleCUF yapinga Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani Zanzibar.
Chama Cha Wananchi(CUF) kimepinga wazo na rai ya kupunguza masharti ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ili kulegeza nguvu zake kisheria na kuwapa fursa Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani...
View ArticleWatanzania watatu na wanyarwanda watatu wakamatwa katika jaribio la mauaji ya...
Watanzania watatu ni miongoni mwa washtakiwa sita wanaodaiwa kumvamia Mkuu wa Majeshi wa Rwanda aliye mafichoni , Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa. Washtakiwa hao pamoja na Wanyarwanda watatu...
View ArticleRushwa ya ngono yamtafuna afisa elimu
AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa....
View ArticleKalenga kwachafuka.....Dereva wa Mwigulu Nchemba ashambuliwa, magari yavunjwa...
DEREVA wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, Mohamed Kunambi, ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wanaodhaniwakuwa wafuasi wa chama cha CHADEMA.Tukio hilo liletokea usiku wa kumkia jana...
View ArticleAliyempa mwanafunzi Mimba na tabibu aliyeitoa wahukumiwa kwenda jela miaka...
Mfanyabiashara wa Mbuzi na kusaga nafaka katika kijiji cha Kintandaa Adamu Shaban Hole (46) (mbele mwenye kofia baraghashia) na aliyekuwa tabibu msaidizi katika dispensari ya Tumaini mjini Singida,...
View Article