STAA wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amejikuta akikumbuka
pete aliyovishwa na aliyekuwa mchumba wake, marehemu Saidi Banda ‘Max’
na kusema ataendelea kumuombea kwani alikuwa ni mwanaume aliyekuwa na
malengo makubwa kwake.
Mainda alifunguka hayo kupitia mtandao mmoja wa kijamii na kusema kuwa
kila akiziona picha za siku alipovishwa pete ya uchumba, anajikuta
akitokwa na
↧