Moja kati ya tuzo kubwa zenye heshima Afrika zinazojulikana kama
African Magic Viewers’ Choice Awards zinazoandaliwa na Multichoice
Africa na Amstel Malta zitafanyika leo (March 8) jijini Lagos Nigeria na
kuwakutanisha vinara wa filamu barani Africa.
Tamthilia maarufu ya Tanzania ‘Siri ya Mtungi’ inawania tuzo hizo
katika vipengele 7 ambavyo ni muigizaji bora kwenye drama
↧