Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya
sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo
vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani.
Simba ilifanya vitendo hivyo katika mechi yake dhidi ya Mbeya City
ambapo imepigwa faini ya sh. 500,000. Pia imepigwa faini nyingine ya sh.
500,000 kwa makocha wake Loga, Selemani Matola na Idd Pazi kuingia
↧