Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya
basi la kampuni ya saibaba walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es
salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya kupinduka katika kijiji cha Mwambegele
wilayani Rungwe.
Safari ya basi la kampuni ya Saibaba lenye namba za
usajili T 973 AVW kutoka jijini Dar es Salaam kwenda wilayani Kyela
imeishia kwenye kona kali ya
↧