Ofisi
ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imeingilia kati sakata la kutekwa
na kujeruhiwa kwa Paroko wa Kanisa la Orthodox, Parokia ya Mtakatifu
Basili Mkuu, Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, Padri Costantino Mbilinyi
(36), ikisema kulifumbia macho ni kuruhusu matukio ya uvunjifu wa amani
na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi.
Msajili Msaidizi, Sisty Nyahoza, akizungumza na waandishi wa
↧