Kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Kalenga, Iringa vijijini zimeanza kuchukua sura mpya baada ya chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ) kuanza kutumia helikopta ambapo kwa siku watafanya mikutano sita.....
Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Bw. Freeman Mbowe, alisema chama hicho kitapasua anga ya jimbo hilo kupitia kauli
↧