AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius
Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani
Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa.
Anadaiwa kutumia madaraka yake kuomba rushwa ya ngono; kuomba rushwa
ya fedha taslimu kutoka kwa walimu, wanafunzi na watumishi wengine
katika halmashauri ya Muleba.
Ni mazingira hayo ya
↧