DEREVA
wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, Mohamed Kunambi,
ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wanaodhaniwakuwa wafuasi wa chama
cha CHADEMA.Tukio hilo liletokea usiku wa kumkia jana eneo la Ifunda jimbo la Kalenga wilaya ya Iringa Vijijini mkoa wa Iringa.Mbali na dereva huyo diwani wa kata ya Ifunda, Eliya Mngwila, naye amejeruhiwa na watu hao waliposhambulia gari
↧