Mfanyabiashara wa Mbuzi
na kusaga nafaka katika kijiji cha Kintandaa Adamu Shaban Hole (46)
(mbele mwenye kofia baraghashia) na aliyekuwa tabibu msaidizi katika
dispensari ya Tumaini mjini Singida, Godlisten Raymond (37) aliyefunika
uso, wakisindikizwa gerezani kwenda kuanza kutumikia kifungo cha miaka
10 baada ya kutiwa hatiani na mahakama kuu kanda ya kati kwa kosa la
kumpa mimba
↧