Rais Jakaya Mrisho
Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa
ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi)
kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten
(juu) na (chini) Ndugu Margaret Chambiri wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC). (picha: Freddy Maro/IKULU).
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la Mwananchi
↧