Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Salum Athuman (22), amejikuta
akivishwa kanga na kutembezwa mitaani baada ya kwenda nyumbani kwa
mwanaume mwenzake, Dastun Mkereti (26) kwa lengo la kujivinjari na mke
wa mtu, Stela Ramadhan (20), akafumaniwa.
Tukio hilo lililofunga mitaa lilijiri maeneo ya Temeke, Dar, hivi karibuni na kugeuka sinema ya bure.
Ilidaiwa kuwa jamaa huyo amekuwa
↧