Taarifa ya IKULU kuhusu habari ya "Rais Kikwete kumtembelea mfungwa, Rajab...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili –...
View ArticleMwanaume avuliwa nguo na kuvishwa kanga na kisha kutembezwa mtaani baada ya...
Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Salum Athuman (22), amejikuta akivishwa kanga na kutembezwa mitaani baada ya kwenda nyumbani kwa mwanaume mwenzake, Dastun Mkereti (26) kwa lengo la kujivinjari na...
View ArticleShakira asema boyfriend wake hataki ashikwe na mwanaume kwenye video, ndio...
Mwanamuziki wa kike ambaye ‘hips’ zake hazidanganyi anapocheza, Shakira ameeleza kuwa chanzo cha kufanya video na Rihanna aliyemshika kama mwanaume ‘Can’t Remember to Forget You’, ni wivu alionao...
View ArticleMkazi wa Tabora asimulia jinsi Metakelfin ilivyomgeuza kuwa Albino, Msikilize...
Hafidh Masokola mwenye umri wa miaka 47, mkaazi wa Tabora amedai kuwa alitumia dawa aina ya Metakelfin miaka minne iliyopita kwa lengo la kutibu ugonjwa wa malaria, lakini dawa hizo zilimsababishia...
View ArticleTaarifa kutoka Mahakamani kuhusu ile kesi ya msanii AT na Mganga wa jadi...
Kesi ya madai iliyofunguliwa mwezi uliopita na mganga wa jadi dhidi ya AT ambaye ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, leo ndo ilikua tarehe yake katika mahamaka ya mwanzo Buguruni... Asubuhi AT...
View ArticleKwa nini Serikali mbili haziepukiki?? ...Uchumi wa Zanzibar unategemea...
WAKATI Bunge Maalum la Katiba likisuasua katika kuunda kanuni za kuongoza wajumbe wake, taarifa zinaonesha katika muundo uliopo wa serikali mbili, mbali na kuimarisha umoja na mshikamano wa Taifa, pia...
View ArticleAfrika kusini yawatimua maofisa watatu wa ubalozi wa Rwanda nchini...
SERIKALI ya Rwanda, imefukuza maofisa sita wa ubalozi wa Afrika Kusini muda mfupi baada ya nchi hiyo kuwataka maofisa watatu ubalozi wa Rwada kuondoka Afrika Kusini. Aidha, kutokana na hatua hizo,...
View ArticleTaarifa kwa vyombo vya habari juu ya Ajira kwa Walimu wapya kwa mwaka 2013 /...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14 Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za...
View ArticleAskofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu....Bofya...
Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu <!-- adsense -->
View ArticleUzushi mitandao ya kijamiii nchini wamkera Edward Lowassa.....Ni baada ya...
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amekerwa na tabia ya baadhi ya watu wanaosambaza uzushi katika mitandao ya kijamii kwa kutumia jina lake. Lowassa alisema kuna watu wanaoendeleza kusambasa...
View ArticleCHADEMA wampitisha rasmi mgombea ubunge Chalinze atakaye kabiliana na Fabian...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempitisha Mathayo Torongey kuwa mgombea rasmi wa ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze....
View ArticleCCM yampa jeshi la ushindi Ridhiwani Kikwete......Kamati kuu yampitisha...
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Ridhiwani Kikwete, kuwa mgombea katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka huu. Kwa mujibu wa...
View ArticleTFF Yaiomba Radhi Serikali kwa uharibifu wa vitu katika Uwanja wa taifa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunalaani vikali fujo na uhabirifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa nchini....
View ArticleMchungaji Christopher Mtikila Achafua Hali ya Hewa Bungeni
Mchungaji Christopher Mtikila amechafua hali ya hewa bungeni, kwa kumtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho amueleze ni kwanini tangu jana amekuwa akimnyima nafasi ya kuzungumza...
View ArticleMh. Samwel Sitta achukua fomu ya kugombea uenyekiti wa bunge la katiba
Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana. Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi...
View ArticleTaswira mbalimbali kutoka Bunge la Katiba mjini Dodoma Leo
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi (kulia) akizungumza , Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleMahakama yawaruhusu Basil Mramba na Daniel Yona kwenda kutibiwa nje ya nchi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya...
View ArticleSamuel Sitta ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la katiba baada ya...
Samuel Sitta ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la katiba kwa kupata jumla ya kura 487 kati ya kura zote 563 zilizopigwa na wawakilishi wa bunge hilo.... Miongoni mwa changamoto...
View ArticleTaarifa ya CUF: Zanzibar ilimtegemea nani kabla ya kuungana na Tanganyika?
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF- Chama Cha Wananchi) Office of the Secretary General Party Headquarters, P.O. Box 3637, Zanzibar, Tanzania E - mail: cufhabari.co.uk Homepage: www.cuftz.org Our Ref:...
View ArticleBodaboda, Bajaji na biashara holela zapigwa marufuku katikati ya jiji la Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Mecki Sadiki akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kutoa agizo kwa viongozi na watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa wanawaondoa...
View Article