Hafidh Masokola mwenye umri wa miaka 47, mkaazi wa Tabora amedai
kuwa alitumia dawa aina ya Metakelfin miaka minne iliyopita kwa lengo la
kutibu ugonjwa wa malaria, lakini dawa hizo zilimsababishia madhara
makubwa katika ngozi yake na kumpelekea kuwa albino.
Akiongea na Sun Rise ya 100.5 Times Fm, Hafidh ambaye ni mjasiriamali
ameeleza kuwa alinunua dawa hizo ‘Pharmacy’ na kwamba
↧