TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14
Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo
mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa
(Halmashauri) ifikapo tarehe 01 Aprili 2014. Kati ya idadi hiyo walimu
wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za
Msingi ni 17,928 na walimu wa shule
↧