SERIKALI ya Rwanda, imefukuza maofisa sita wa ubalozi wa Afrika Kusini muda mfupi baada ya nchi hiyo kuwataka maofisa watatu ubalozi wa Rwada kuondoka Afrika Kusini.
Aidha, kutokana na hatua hizo, Afrika Kusini imeanza kuangalia uwezekano wa kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Rwanda, kutokana na mvutano wa siku za hivi karibuni kati ya nchi hizo mbili, uliosababisha kila upande
↧