MAHAKAMA
ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda
kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani, Basil Mramba na
Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na
kuisababishia Serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7 kwa kutoa msamaha wa
kodi baada ya kusikiliza maombi yao leo.
Uamuzi
huo umetolewa leo mahakamani hapo na Jaji John
↧