Samuel Sitta ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la katiba
kwa kupata jumla ya kura 487 kati ya kura zote 563 zilizopigwa na
wawakilishi wa bunge hilo....
Miongoni
mwa changamoto alizoziahidi kuzishughulikia ni pamoja kulifanya bunge
hili kuwa bunge la viwango na kuahidi kutumia muda mfupi zaidi kwenye
bunge hili la Katiba sambamba na kuwashughulikia wanaotaka muungano
↧