Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amekerwa na tabia ya
baadhi ya watu wanaosambaza uzushi katika mitandao ya kijamii kwa
kutumia jina lake.
Lowassa alisema kuna watu wanaoendeleza kusambasa
picha ya noti ya Sh500 yenye picha yake huku wakiongeza maneno mabaya
juu yake.
Katika taarifa iliyotolewa na ofisi yake, Lowassa
alisema, “Kitendo hicho siyo utani, bali ni dhihaka
↧