Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Mecki Sadiki akizungumza na waandishi wa
habari leo jijini Dar es salaam kutoa agizo kwa viongozi na watendaji
wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa wanawaondoa na kuwachukulia
hatua za kisheria wanaovunja sheria za jiji kwa kuendesha shughuli
mbalimbali katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Kamanda
wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna (CP)
↧