Watanzania
watatu ni miongoni mwa washtakiwa sita wanaodaiwa kumvamia Mkuu wa
Majeshi wa Rwanda aliye mafichoni , Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa.
Washtakiwa hao pamoja na Wanyarwanda watatu wamefikishwa katika mahakama za Afrika Kusini kujibu mashtaka hayo.
Jenerali Nyamwasa alishambuliwa wiki hii, ikiwa ni muda mfupi
baada ya mauaji ya Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Rwanda
↧