Chama Cha Wananchi(CUF) kimepinga wazo na rai ya kupunguza
masharti ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ili kulegeza nguvu zake
kisheria na kuwapa fursa Watanzania Bara kumiliki ardhi Visiwani
Zanzibar.
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari na
Mwasiliano ya Umma wa CUF Salum Bimani katika taarifa yake kwa vyombo
vya habari iliyotolewa jana visiwani humo, siku chache baada
↧