Aliyekuwa mshindani wa Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi wa
Jimbo la Chalinze mwaka 2000 kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (Cuf),
Fabian Leonard atapambana na mtoto wa rais huyo, Ridhiwani Kikwete
katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo utakaofanyika Aprili 6, mwaka huu.
Chama hicho, kikimtangaza mgombea huyo Makao Makuu
ya Cuf yaliyopo Buguruni Dar es Salaam jana, kilisema kinakwenda
↧