Tuzo za mwaka 2014 za AfricaMagic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs)
zimefanyika jana Jumamosi huko Eko Hotel and Suites Victoria Island,
Lagos, Nigeria. Tuzo hizo ziliburudishwa na wasanii mbalimbali wakiwemo
Flavour, Davido na Waje. Tamthilia ya Siri ya Mtungi iliyokuwa imetajwa
kuwania vipengele saba imeambulia patupu.
“Kwa bahati mbaya Siri ya Mtungi haijafanikiwa kupata
↧